screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku ataiacha Clouds, eti wanaume wa Dar mnalionaje hili?