screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Sep 16, 2016 #1 Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku ataiacha Clouds, eti wanaume wa Dar mnalionaje hili?
Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku ataiacha Clouds, eti wanaume wa Dar mnalionaje hili?