Asanteni Watanzania,wezi waliokuwepo CHADEMA waendelea kuumbuka

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,237
Reaction score
4,347
Tuna kila sabubu ya kuwashukuru Watanzania kwa kuendelea kuwanyina kura viongozi wa chadema wakati wa chaguzi zetu.
Leo hii Makamu Mwenyekiti amewaka wazi ni kwa jinsi gani kundi la G55 walivyokuwa wanatafuna hela za CHAMA@Mrema
 
Hata kama akikusanya almasi kiasa cha kg trillion hizo, kama hakuna demokrasia na haki kushimu utu ni zero!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…