Hehehe!! Safi sana endelea kufuatilia kwa umakini huo....
By the way Ethiopia nao pia wanapania libandari letu kwa hamu, juzi tumepata ujio wa NEPAD yote wametia kambi pale, ikumbukwe kusini mwa Ethiopia kuna watu zaidi hata ya Tanzania na wote watategemea bandari yetu.
Nilisoma sehemu eti mnamualika bepari Marekani aje aokoe Bagamoyo...