Pre GE2025 Asas atoa Smartphone 18 kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini

Pre GE2025 Asas atoa Smartphone 18 kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini kwa njia ya Kielekroniki.

Soma Pia:
Asas amekabidhi Simu hizo Agosti 10, 2024 kwa Said Lubeya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Iringa Mjini ili simu hizo ziweze kugawiwa kwa Watehama kuanzia ngazi ya Kata mpaka Mitaa ili kufanikisha zoezi la usajili wa Kielekroniki wa Wana-CCM Iringa Mjini.
Screenshot 2024-08-11 092813.png
 
Back
Top Bottom