Asasi za Kiraia (AZAKI) zaipinga vikali Ripoti ya Chande

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kupitia ukurasa wa LHRC wamechapisha taarifa hii;

Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu tuna jukumu kubwa katika jamii la kulinda na kutetea haki za binadamu, pamoja na kufuatilia masuala ya uwajibikaji na utawala bora.

Baada ya Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 kutoa taarifa yake hadharani tarehe 23/04/2026, tumeona tuna wajibu wa kuichambua na kutoa taarifa fupi kwa umma juu ya uchambuzi wa awali wa taarifa hiyo.

Taarifa hii inalenga kuonesha mapungufu yaliyojitokeza katika ripoti hiyo, pamoja na kutoa mapendekezo ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa.

Pamoja na kwamba tangu awali hatukukubaliana na muundo wa Tume hii ambao haukuzingatia ushirikishwaji wa makundi yote ya kijamii na wataalamu wa kimataifa wenye uzoefu wa uchunguzi wa matukio ya aina hii bado tuna wajibu wa kuchambua taarifa hiyo, kubainisha mapungufu yake, na kutoa mapendekezo yetu.



Your browser is not able to display this video.











​
 
Kazi batili ya Chande na mazafakas wenzake inachanwa left, right and center!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…