Asasi za kiraia zimetishia kuushtaki mchakato wa bunge la katiba mahakamani.

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
[h=3]Asasi za kiraia zinazofuatilia na kuangalia mwenendo wa utendaji kazi wa bunge maalum la katiba linaloendelea mjini Dodoma Zimetishia kuusimamisha mchakato huo mahakamani ama kwa kushtaki kwa wananchi kutokana na kitendo cha uongozi wa bunge kuimarisha ulinzi kwa kiasi kikubwa jambo ambalo linawatishia wabunge na wananchi kuwa huru kufuatilia na kutoa maoni yao kuhusu namna ambavyo mchakato huo unaendelea bungeni.[/h]Bonyeza Vidio

Asasi za kiraia zimetishia kuushtaki mchakato wa bunge la katiba mahakamani. - YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…