Asateni nimeshafika

Asateni nimeshafika

luku_77

Senior Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
176
Reaction score
19
dah sijuwi nianze na nini duh?? ok nianze na salam ya kinyumbani khee watanielewa kweli?? ok ngoja nijaribu mwngaluka abamayu na bababa??
laa sijuwi wamenisiki na kunielewa!! watanielewa tu hata hii pia!.!... shikamoni wake kwa waume..??
angalia mingine mitoto kabisa halafu eti imeitikia barakhaba!! ok leo nimewamkia kesho wadogo wote mniamkie sawa wadogo zangu? ok asanteni kwa kunikaribisha hapa Jf.
 
asante ila jamvi halina mlo nami ninanjaa ile mbayaaa au mmeficha mpaka niondoke???

Mlo upo na nyumbani utapeleka. Hebu tembeatembea uone. Bado haujakutosha!!!
 
asanteni wana jamii woto mlio tumia mda wenu kunikaribsha natumain tutakuwa wote kwa shida na raha kwa ushari na kubadilishana fikira asnteni.
 
Back
Top Bottom