Asec Mimosas imeomba mechi ya marudiano na Simba ifanyike kwa Mkapa

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Asec wameshafuzu hatua ya robo final wameomba mechi yao vs Simba ipigwe kwa mkapa, kwanza wanaamini watapata mapato kwa sababu Simba nao wanategemea gemu hiyo kufuzu, ewe mola naomba maombi yao yakubaliwe.

Hongereni viongozi wa Simba kwa kucheza karata vizuri.

=======

Taarifa hii imefafanuliwa vyema ndani ya JamiiCheck, kusoma zaidi fuata kiungo hiki UZUSHI - Asec Mimosas imeomba mechi ya marudiano na Simba ifanyike kwa Mkapa
 
Na ikitokea Simba isifuzu basi watastahili kuzomewa na kuchekwa kwasababu wapo kundi RAHISI SANA KWAO ukilinganisha na Yanga yenye kundi GUMU sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…