Atupeleke mbali kimataifa. Kama kumfunga Simba tumefanya hivyo Mara kibao na wao Simba SC wanalitambua Hilo.karibu Aziz Ki wananchi club utufungie Simba tu inatosha! mengine itakuwa nyongeza! !
Simba tumemfunga kwenye Ngao ya Jamii! Tumemfunga kwenye nusu fainali ya ASFC!karibu Aziz Ki wananchi club utufungie Simba tu inatosha! mengine itakuwa nyongeza! !
Hahahaaaakaribu Aziz Ki wananchi club utufungie Simba tu inatosha! mengine itakuwa nyongeza! !
Ni kweliAtupeleke mbali kimataifa. Kama kumfunga Simba tumefanya hivyo Mara kibao na wao Simba SC wanalitambua Hilo.
bado sijaridhika big boss! yaani mechi ya kolo fc tunapowakosa huwa napata shida sana!Simba tumemfunga kwenye Ngao ya Jamii! Tumemfunga kwenye nusu fainali ya ASFC!
Bado hujatosheka tu.
Safi, huyu kazi yake iwe kuifunga Simba tu.karibu Aziz Ki wananchi club utufungie Simba tu inatosha! mengine itakuwa nyongeza! !