kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
Mimi hapa,.Tulio Acha kunywa mapombe tukutane hapa.
Bia gani hiyo?Bia ni tamu kuliko hata Papuchi aisee
Umeacha,umepumzika au upo likizo ya muda usiojulikana!Tulio Acha kunywa mapombe tukutane hapa.
Itakuwa balimi!Bia gani hiyo?
Bia ni chungu sijui watu wanaipendea nini
Bia gani hiyo?
Tulio Acha kunywa mapombe tukutane hapa.
Acha kufanya ngono piaTulio Acha kunywa mapombe tukutane hapa.
Bora hata pilsner...lolItakuwa balimi!
Kabisa mkuu, sio kwa huu Ujiniazi wake aseeBia mbili za mwanzo ni tamuu mnooo....
Aliegundua bia apunguziwe adhabu ya kaburi huko alipo.... Amen
Bia yeyote tu ilimradi inalewesha, kunywa soda ufe na kisukariBia gani hiyo?
Bia mbili za mwanzo ni tamuu mnooo....
Aliegundua bia apunguziwe adhabu ya kaburi huko alipo.... Amen
Bia za kindergarten hizoππSerengeti Lite Bia pendwa kwa awamu hii