Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
You are so curious, mimi valuer kidogo ziniuwe, nikaja kuambiwa nimekunywa fake. Na zilikuwa nyingi sana mtaani.
Nakumbuka nimekunywa kiasi, nikaenda nyumbani, usiku nilitapika, asubuhi yote nikatapika, koo liliungua, nikapata vidonda mdomoni.
Toka hapo, ni zaidi ya miaka 8 sijawahi tena kunywa valuer, na simshauri mtu.
Ngoja niagize bucket ya mwisho nkalale, nimehisahau kuwa wiki ndio imeanzaYaan ww ushalewa hahaa rudi kwako...fanya masuala ya 1 for the road
Eeenh toka liniMimi hapa,.
KabisaBia ni tamu kuliko hata Papuchi aisee
Kweli mkuu naunga mkono hoja beer tamu bwana upate kabaridi hiviBaada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa Yani Hapa Nahisi Poa Sana.
PS. Tafuta Pesa Kisha Tumia Urudishe Pesa Kwenye Mzunguko Na Wengine Wapate.
Aah mie sijawahi kuzielewa pombe ila nitajaribu hiyo ya kumix na coca
No sugar addedBia gani hiyo?
mimi pia hizo kali siwwz..najinywea tamu tami tu
Kweli mkuu naunga mkono hoja beer tamu bwana upate kabaridi hivi
You are so curious, mimi valuer kidogo ziniuwe, nikaja kuambiwa nimekunywa fake. Na zilikuwa nyingi sana mtaani.
Nakumbuka nimekunywa kiasi, nikaenda nyumbani, usiku nilitapika, asubuhi yote nikatapika, koo liliungua, nikapata vidonda mdomoni.
Toka hapo, ni zaidi ya miaka 8 sijawahi tena kunywa valuer, na simshauri mtu.
Ni tamu aiseeBia ni chungu sijui watu wanaipendea nini
Ushalewa tayari unachapia sana
Wapite hivikabisa..wasitutingishe hapa[emoji28]...
Bia inatiririka jashoKweli mkuu naunga mkono hoja beer tamu bwana upate kabaridi hivi
Njoo nkuandalie nyaraka za kumfungulia kesiHuyu Doctor aliyeniandikia hii dose ya siku tano sina imani naye
mkuu raha ya pombe ukunje sura au ufunge jicho ukipiga pafu,iyo tamu ni juicy au chai?mimi pia hizo kali siwwz..najinywea tamu tami tu
Duh....!
Zinapunguza nguvu za kiumeBia za kindergarten hizo[emoji14][emoji125]
Hahhahaha acha tu jamani aliyegundua beer azidi kubarikiwa[emoji28][emoji28][emoji28] ww tena mama mchungaji wa mwendo kasi[emoji28]