Asee haka ka Binti Kameumbika Jamani - Ukweli tuusemage!!

Mapozi ya kiaina aina pia uongezea kitu ndani ya dhana nzima ya urembo wa msichana.

 
kawaida sana, mimi hamnioni huku kijijini?
 
Uzuri wa Mwanamke ni Tabia njema!! lakini bana sura yenye mvuto (Reception) ina nafasi yake kwa kweli!!!


Mkuu uzuri wa mwanamke ni sura mengine yote mbwembwe tu
 
Ingawa umri wangu umeenda kidogo lakini nikipata fursa kwa haka katoto, ntaitumia ipasavyo.
 
Ingawa umri wangu umeenda kidogo lakini nikipata fursa kwa haka katoto, ntaitumia ipasavyo.
mzee umri si tija, cha msingi kama ukiipata fursa hiyo basi itumie kwa uangalifu vinginevyo unaweza kuishia MOI. watoto wa mjini hawa.
 
Si mbaya kuonyesha manjonjo ya maungo uliyozawadiwa na mola wako!!! eeee

 
Maji ya Kilimanjaro pia huchangia kufanya ngozi ya warembo wengi kuwa nyonyoro na ya kuvutia !!

 
Mwanamke ni Tabasamu asikudannye mtu, hebu kacheki kabinti kanavyofurahisha eeee

 
Yes, Mrembo anatakiwa awe mbunifu wa mavazi, mitindo ya nywele pia - hebu kacheki hapa

 
Detal fomulla ni muhimu kwa mwanamke kukamilisha urembo wake - hebu cheki hii formula ya kenyewe!!!

 
Unanisoma eeeeee!!!!!

 
Maji ya Kilimanjaro pia huchangia kufanya ngozi ya warembo wengi kuwa nyonyoro na ya kuvutia !!


we kongolo mbna dada ze2 huku ktaa wanakunya 2maji km huto lkn zao ngum km asha ngedere!
 
Da kongolo hupumui,huhemi kwa hotlicious mjane wa uncle jj!
 
Uzuri ni wa kuzaliwa nao, Maringo kwa kenyewe ni jambo la kawaida -- aiseee

 
Ukitaka kujua urembo wa Mwanamke wewe angalia kwenye vidole hasa vile vya miguuni!! pia msisahau usafiri kwa ujumla ni muhimu.




 
Macho pia huwa yana nafasi ya pekee kukamilisha urembo wa binti yoyote.

 
Kuchagua vazi zuri la kutokea ni muhimu kwa mrembo yoyote yule!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…