Asee maswali mengine.......mh!

Asee maswali mengine.......mh!

super thinker

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
370
Reaction score
109
Very deep inlove anakuuliza....................hivi ni nn kilikuvuta kwangu?!?!
Lazma niipotezee.......
 
the answer is i just luv u, luv u, luv u! with no specifik reason, i jus found ma self in your arms loving u, and thats it!
 
kama ni mwanaume jibu; wowowo na manjonjo yako uwanjani yalinipagawisha

kama ni mwanamke jibu; ndizi na manjonjo yako uwanjani yalinipagawisha
 
Very confusing indeed........but mhy mtu anakuwa curious kutaka kujua!!
 
the answer is i just luv u, luv u, luv u! with no specifik reason, i jus found ma self in your arms loving u, and thats it!

Sometimes it is okay to give specific reasons why you're in luv with him/her.

Last edited by a moderator:
Hahaha! Sasa unaogopa kusema ukweli? There must be something! Na ukiambiwa sababu utajua kama ni long term ama ni very temporary!
 
To fall in love with someone is something which naturally happened, it does not have a reason perse, but happened.
To control the filling of love is what important in our life.
 
Kama ni msichana mwambie umevutiwa na huwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo!
 
Tangu nilipokuokotea bank statement nikaanza kuvutiwa na sauti yako uliponishukuru.
 
Mwambie kiuno chako unavyo kizungusha mpaa naona kizungu zungu cha moyo.
 
kama ni mwanaume jibu; wowowo na manjonjo yako uwanjani yalinipagawisha

kama ni mwanamke jibu; ndizi na manjonjo yako uwanjani yalinipagawisha

Utaulizwa uliionaje kwanza? suali ni nini kilivutia sasa uliiona vipi ndizi yake kabla ya kuvutiwa nae na kufanya yale majambo?
 
Utaulizwa uliionaje kwanza? suali ni nini kilivutia sasa uliiona vipi ndizi yake kabla ya kuvutiwa nae na kufanya yale majambo?
cheza nae 'blues/mduara/follow the leader' ukiwa unajisuguasugua maeneo yake ya ikulu.

Kabla hajauliza wewe unamwambia kwanza:
Do you know what I love about you honey?
The fact that you never ask silly questions
like "what I do love about you". that's stupid!
 
mie wangu nampenda sababu he is the most handsome man in the world!anaheshimu watu,ni mchapakazi,mpole unaongezea am soo lucky to have you.....basi hapo yeye bichwa karibia linapasuka.
 
Back
Top Bottom