Asenal inaoonza ligi

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
885
Reaction score
582
Ligi kuu nchini Uingereza inaanza ijumaa, nimeangalia kwenye livescore table nimekuta timu ya Asenal wapo kileleni, hii ni faraja kwa wapenZi wa timu hiyo
Maana mara ya mwisho kukaa katika nafasi hiyo TanZania waziri mkuu alikuwa mtoto wa mkulima[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utaijua arsenal vema msimu huu. Kama tuliweza kuwakimbiza na wenger ambaye kusajili mpaka aone maandamano ya mashabiki kwa huyu mtajuta kuijua arsenal washika mtutu.
 
Jina la Club yangu pendwa ni ARSENAL au ulivyoandika wewe ni kwa Kiswahili nini? Sina uhakika
 
Duniani timu ni moja tu Arsenal hizo nyingine ni vijiwe vya kukutania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…