Asenal na Bacelona TV ipi inaonesha?

Asenal na Bacelona TV ipi inaonesha?

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu kwa sisi ambao hatuna DSTV je ni TV ipi inaonesha?Je ni ITV,Channel 10,ATN,E TV,Clauds TV,
 
Kama una king'amuzi cha startimes,KBC1 ya Kenya wanaonyesha.
 
Kama antena yako ya kibati elekezea baharini upate TvZ....
 
Back
Top Bottom