Asenga: Mimi ni Mbunge lakini navaa mkanda wa elfu 3, kiatu changu hakizidi elfu 20

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo

Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;

"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi elfu 20"

Soma: Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe
 
Ameshaanza kuweweseka huyo. Akumbuke tu kwa Ifakara, ni Abbas Gulamali pekee ndiyo alikuwa ni Mbunge wa maisha. Kwa hiyo mwaka huu ajipange tu kwa shughuli nyingine!

Maana ni ngumu sana kwake kurejea tena kwenye hilo jengo la matutusa wanaogonga tu meza, kupiga vigeregere na kuitikia ndiyoooo!
 
Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo

Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;

"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi elfu 20"

Soma: Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe
View attachment 3245447
Mchaga aliyetorokea Morogoro kwenda kutafuta Hela!
 
Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo

Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;

"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi elfu 20"

Soma: Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe
View attachment 3245447
Hizi tunaita kampeni zisizo rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
 
Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo

Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;

"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi elfu 20"

Soma: Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe
View attachment 3245447
Hata angeliitembea uchi kwani kunafuta ukweli kwamba anapokei pesa ndefu zaidi ya milioni 15 kwa mwezi? Huo ni ubahiri wake maana mshahara wake ni wa kwake na wala haupeleki kokote kama msaada.
 
Back
Top Bottom