Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mchaga aliyetorokea Morogoro kwenda kutafuta Hela!Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo
Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;
"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi elfu 20"
Soma: Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe
View attachment 3245447
Hizi tunaita kampeni zisizo rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu.Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo
Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;
"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi elfu 20"
Soma: Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe
View attachment 3245447
Hata angeliitembea uchi kwani kunafuta ukweli kwamba anapokei pesa ndefu zaidi ya milioni 15 kwa mwezi? Huo ni ubahiri wake maana mshahara wake ni wa kwake na wala haupeleki kokote kama msaada.Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo