kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]82' refa ongeza dk 20 Yanga tupate hii burudani
Simba striker anapata chance 5 kwa game, hata Sarpong anaweza kuwa top scorer hapa😁Amekua mzigo sana, ajabu ni kwamba ndo top scorer
Kesho kutakua na Press mapema asubui.82' refa ongeza dk 20 Yanga tupate hii burudani
Kwani mzee wa kuwakera ametupia?Kesho kutakua na Press mapema asubui.
it could be a perfect combinengaMkude na Thadeo Lwanga which is which?
Inabidi itengenezwe hii pacha, itakuwa ya moto sanaMkude na Thadeo Lwanga which is which?
Unajua soka ww!Mkude na Thadeo Lwanga which is which?
Akucheza,anapumzishwa sana sahivi.Kwani mzee wa kuwakera ametupia?
Nilishangaa walimwanzisha mechi ya champion league na hakufanya chochoteDilunga hanaga akili
Dogo anawengi yule,.Nilishangaa walimwanzisha mechi ya champion league na hakufanya chochote
Ila alipokuja alikuwa vizuri sijui magazeti ndio yalimharibu au kulewa sifaDogo anawengi yule,.
Kama anamapepe flani ivi.
Akirekebishwa anakaa sawa.