ASFC: Yanga SC Imejitahidi, Lakini Sio Timu Bora.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Niwape pongezi wanajangwani.

Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile.

Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa uwezo huu itakuwa inamaliza nafasi kati ya 8 mpaka 13 kila msimu.

Ninashauri maboresho ya umakini yafanyike ili kuifanya wafikie ubora ambao wanaJangwani wanahitaji.
 
Acha utani ligi kuu ya uingereza Yanga awe nafasi ya 8!? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha utani ligi kuu ya uingereza Yanga awe nafasi ya 8!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena 8 mbali nafasi ya 4-6 na na angeweza cheza uropa league

Huku yanga anapigwa kolabo za uchawi ndo maana anasua sua we fikiria urogwe na nyau, urogwe na cost utakuwa na Hali Gani
 
Mpira ni magoli; haijalishi yanapatikanaje.

Ligi ya Tanzania ni moja kati ya Ligi kumi bora Africa. Tutapeleka timu mbili kwenye mashindano ya CAF

 
MAKOLO mtaendelea kuweweseka sana tu na YANGA, mpaka akili zikiwakaa sawa [emoji847]

Toka kushangilia kiatu cha mfungaji bora wa timu nyingine, na hat trick ya mchezaji mwingine.

Mpaka mseme kwanini nyau huwa wanapita uwanjani kabla ya mechi yenu kuchezwa na timu pinzani [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…