Wewe mbona hujachukua!!?Go mama. Mimi nafurahi sana watu wanavyochukua form. Hii ndo demokrasia.
Kwa sasa kuna sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Ila Inshallah 2025 nitachukua form.Wewe mbona hujachukua!!?
Muoga ww.....Kwa sasa kuna sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Ila Inshallah 2025 nitachukua form.
Ni vile sina chama kwa sasa. Ila mpaka 2025 nitakuwa nishaona nifanye nini as far as mgombea binafsi hairuhusiwi kwenye nchi yetu. Watu wengi sana in real life wananimbia nichukue form.Muoga ww.....
Chukua form sasa hv....Ni vile sina chama kwa sasa. Ila mpaka 2025 nitakuwa nishaona nifanye nini as far as mgombea binafsi hairuhusiwi kwenye nchi yetu. Watu wengi sana in real life wananimbia nichukue form.
Chukua na wewe sasa, nenda Shinyanga kamutoe MaseleGo mama.Mimi nafurahi sana watu wanavyochukua form. Hii ndo demokrasia.