Asha Baraka Amuonya Diamond 'kwa unga'

Asha Baraka Amuonya Diamond 'kwa unga'

Tatizo la wasanii wetu wengi ni sembe na ukimwi.
Azingatie hilo pia.
 
Alikuwa wapi siku zote mpaka Madinda anadanja?

Na diof na masanja?.yeye ni mlea wala unga na huwa hata kuwatibu hataki anawatumia hivyo hivyo na unga wao.hapa anazingua tu huyo mama
 
Na diof na masanja?.yeye ni mlea wala unga na huwa hata kuwatibu hataki anawatumia hivyo hivyo na unga wao.hapa anazingua tu huyo mama

aliwaonya sana na kujaribu kueapeleka center za ushauri lakin hawakusikia angefanya nini tena.

Kama ngamia ataki kunywa maji unamuacha du dunia itamfunza
 
we Shigongo ndo story imeishia hapo?
 
Kwanini wasile unga wakati ni chakula kitamu na chenye nguvu sana mwilini...?
 
Back
Top Bottom