Alikuwa wapi siku zote mpaka Madinda anadanja?
Na diof na masanja?.yeye ni mlea wala unga na huwa hata kuwatibu hataki anawatumia hivyo hivyo na unga wao.hapa anazingua tu huyo mama
sa si ndiyo hapo!! naomba Mungu amwepushe !!Vzr…!!lakini atakuelewaaa…???
Tatizo la wasanii wetu wengi ni sembe na ukimwi.
Azingatie hilo pia.
Na diof na masanja?.yeye ni mlea wala unga na huwa hata kuwatibu hataki anawatumia hivyo hivyo na unga wao.hapa anazingua tu huyo mama