Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

Kipindi hicho wanawake walikuwa wanapigania penzi kwa waume zao siku hizi hamna hiyo kitu dunia ina badilika kwa kasi sana
 

Hakuna dini isiyoruhusu talaka kati ya Islamic and Christian, tofauti ni vigezo tu.
 
Nyc stori tupe y simbaulanga ile y kuiba 50m miaka ya 80.cz ilikua big story ila naskia alitoka huyo mama cz hela ilifanya kazu, 50m z nbc miaka hiyo ni bilionea hakimu au jaji akufunge atakua mjinga cz maisha yalikua tyt

Siyo kwamba fedha ilifanya kazi la!! alikamatwa kesi iliendeshwa na alifungwa (miaka sikumbuki) japo alishatoka kwa msamaha wa Rais mwinyi.

Chanzo. Jamii forum
 

Shkamoo Mzee Kichuguu!

Napenda sana “hekima” zako!

Kiasi inanifanya niwaze??!!?? Wakati wa hukumu ya hii kesi nilikua bado nanyonya ziwa la mamangu!! ??

Shkamoo sana Mzee! [emoji119]
 
Mtambuzi,

Nadhani hii kesi ni nzuri sana ya kutufundisha kama jamii, kwamba lazima tufike mahali tutambue ni kwa kiasi gani wakati mwingine udhaifu wetu wanaume unasababisha maafa kwa watu wengine...
Namimi nimeshangaa huu ujasiri wa Happines
 
Usipokua makini mwanaume anaweza kukupitisha njia hujawahi tarajia utapita
 
Hatari sana...jamaa
alikua anapelekea moto hadi wazungu
 
Umenikumbusha mbali sana na ni jambo zuri sana unalolifanya...I doubt kama law schools za Tanzania wanatumia case zetu kufndisha au ni za kuimport tu bado...

Hizo zingine link iko wapi? Keep up doing the good work...

They are back now! With a name for their Victims;.... wanawaita Madanga!

Life!!!!
 
Kuna jamaa kule Twitter naona kacopy Kama ilivyo [emoji1787][emoji1787] bila hata kitana source..wakicopy makala zake anakuaga mkali Sana.. binadamu Sisi [emoji1787]
 
Baba mkwe wa Asha, yaani baba yake Dk. Hauli, alikuwa shahidi upande wa utetezi. Hii imenifikirisha sana.
 
Mtambuzi Kiongozi.. [emoji120]

[emoji841] Nimesoma vizuriii kesi hiyo na hukumu pia

[emoji841]Pongezi kubwa sana kwako, kwa uandishi mzuri ulio tukukaaaa.

[emoji841] USHAURI[emoji841]
Nitoe tuu ushauri pia, ujikite ktk uandishi wa vitabu...hasa vya kufundishia watoto wetu mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…