mkuu si unajuwa bollywodd wamekaa kima lavi davi zaidi.. lakini hii ni mixer na thriller kidogo! jaribu utaniambia
Viper my kaka hebu nifundishe na mie nipate angalau interest ya kuangalia na kununua movie hizi naona kama ni ndeeeeeeeeefu sana kuimba kunachukua asilimia 75 ya movie ..harafu Lugha mwenzangu ..angalau ya Malikia tunaenda sambamba ..hii ya kina Mituni daah Aisharya Rai sijui na nani huyu Mallika Sherawat