"ashakum"

"ashakum"

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
386
Kama nitamkwaza mtu kwa namna yoyote naomba mnisamehe.

Huwa nasikia kati ya vipimo wanavyopimwa watu wanaojiunga na jeshi ni pamoja na kujua kama mtu amewahi kuingiliwa kinyume na maumbile kwa jinsia zote.

I want to know what do they look at to find out the status?
Just curious.
 
Wanampima mtu kama sio khanisi unavua nguo then wanatest kama zakaria anafanya kazi.
 
Wanampima mtu kama sio khanisi unavua nguo then wanatest kama zakaria anafanya kazi.

nakubaliana na wewe ila nadhani hivyo ni vitu viwili tofauti na sijui kama kimoja lazima kihusiane na kingine.
 
Back
Top Bottom