Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kwanza natanguliza Kuomba ( Kuwaombeni ) Radhi kama Maudhui na Uwasilishaji wa Mambo ambayo nataka Kuyagusia hata yatakuwa Mkwazo wa namna yoyote ile Kwako kama ukiyasoma ila nimeamua kuyaleta haya mambo Makuu mawili Kwenu hapa ili leo tuweze Kukata Mzizi wa Fitina.

Je, ni kweli kwamba.....

1. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kiume halafu akagundua kuwa Uume wake hakisimami kama cha Watoto wenzake au hata Mama akigundua kuwa Mwanae wa Kiume ambaye ameshabalehe ila amekumbwa na tatizo la Uume wake kutosimama basi huyu Mama Kisirisiri tu akiwahi kwenda nae Chumbani huyo Mtoto wake au akimvizia tu amelala Usingizi akigusisha Uke wake basi mara moja tatizo hilo la Mtoto wake linaisha na Uanamume wake unarudi / unakuwepo kama kawaida?

2. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kike halafu akagundua kuwa ana tatizo la Kutopata Mtoto ( Ugumba ) au akipata Mimba ( Ujauzito ) inaharibika basi huyo Mama akimlazimisha huyo Binti yake avae Chupi zake au za Bibi yake au Shangazi yake au agusishe Maziwa ( Matiti ) yake katika sehemu za Siri za Mama yake ( Ukeni ) basi mara moja hilo tatizo linakwisha na kuwa Historia Kwake?

Wenye kujua zaidi au wenye Uzoefu na haya Mambo Mawili tajwa hapa tafadhali karibuni mfunguke ili nasi tuelimike zaidi.
 
Kuna bwana humu alikuja kuomba ushauri kuhusu kijana wake kutosimamisha..akadai aliambiwa afanye kama wewe unavyouliza hapa,baadae alileta mrejesho kama alifanya hivyo na kweli tatizo la kijana liliisha..sikumbuki jina la uzi lakini upo..nadhani ukiupata jamaa atakua shuhuda mzuri.
 

Wengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezini eti majani yanakauka😅😅😅! Ujinga huu
 
Mmh serious speaking haya ni mapya kwangu

Jr[emoji769]
Kiongozi, hilo la mtoto wa kiume na mama nilisikia Singida miaka mingi.

Walikuwa wanasema mama anamvulia mwanae na kumwonyesha tupu yake.

Lakini huwa kuna maandalizi mengine yamefanyika. Hatua hiyo ni kama hitimisho tu.
 
Kiongozi, hilo la mtoto wa kiume na mama nilisikia Singida miaka mingi.

Walikuwa wanasema mama anamvulia mwanae na kumwonyesha tupu yake.

Lakini huwa kuna maandalizi mengine yamefanyika. Hatua hiyo ni kama hitimisho tu.

Nasikia hayo Maandalizi ni Mlengwa kufanyiwa mambo ya Kishirikina ( Kimila ) ili Mama Mtu akifanya yake Yeye awe hajui Kitu.
 
Haya mambo yapo,
Kama hujawahi ona usipinge ww tega sikio au kodoa macho soma kisha pita kushoto ukiona hayakufai.

Kuhusu mtoto kuto kudesesha ka mtalimbo mama anahusika,
Pia hata mboga ikichumwa na mwanamke aliye mwezini hukauka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…