fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
kwani ni mwanamke? Mume wa nani aliyeko jamaika?Huyu mtangazaji hivi sasa anaendesha kioindi cha ujumbe katika muziki,ana sauti nzuri na anatangaza vizuri na kwa hisia.Ameanza na wimbo wa sauda aliyepenfa mimba nje ya ndoa wakati mumewe yuko jamaica,ni wimbo mzuri sana wa juwata.Nampongeza sana
hebu soma vizuri huo uzi kabla hujatoa maoni,ukiuliza kwani ni mwanamke unamaanisha nini?Nani alikuambia mwanaume huwa hana sauti nzurikwani ni mwanamke? Mume wa nani aliyeko jamaika?
aahaaa! Nimeelewa, kumbe ni ujumbe ulioko kwenye wimbohebu soma vizuri huo uzi kabla hujatoa maoni,ukiuliza kwani ni mwanamke unamaanisha nini?Nani alikuambia mwanaume huwa hana sauti nzuri