Ashindwa kuvunja Rekodi ya Kulia kwa Saa 100, aishia saa 6

Ashindwa kuvunja Rekodi ya Kulia kwa Saa 100, aishia saa 6

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42.

Ash
 
Wanigeria mbona wana vituko sana. Hizo record za masaa 100 naona imekua ndio habari ya mjini huko kwao. Kila mtu anataka avunje record ya masaa 100
 
Tuseme njaa iligonga hodi Julia kukakata

Kulia masaa 100 bila kupumzika kuvunja hiyo rekodi ni uongo mwingi
 
ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42.
Lazima uwe umeshiba Ng'ombe mzima kufanya hii shughuli sio MCHEZO kulia ni issue nyingine labda kuwe na mtu anakusindikiza na mapanzi ya kukutia uchungu waaaa
✍️
 
Back
Top Bottom