Kilichomfanya ashindwe ni ninRaia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42.
View attachment 2685080Ash
Nani kaweka record?kuvunja hiyo rekodi ni uongo mwingi
Lazima uwe umeshiba Ng'ombe mzima kufanya hii shughuli sio MCHEZO kulia ni issue nyingine labda kuwe na mtu anakusindikiza na mapanzi ya kukutia uchungu waaaaameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42.