Ashira Girls Secondary School

Moise Aimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
216
Reaction score
406
Wadau,

Nna mdogo wangu kapangiwa form 5 hii shule (EGM) kwa anaejua status ya Taaluma ya shule hii anijuze.

Na pia kwa mtu mwenye contact ya Mwalimu/Walimu naomba anisaidie ile niwasiliane nao nipate kujua mahitaji yanayohitajika huko
 
kitaaluma ni shule nzuri sana, ila kuna baridi kali.
kuhusu kupata joining instruction si huwa wanatuma kupitiia sanduku la barua? ama kama unaona kuchelewa nenda kaifwate ili uijue a mazingira yake
 
kitaaluma ni shule nzuri sana, ila kuna baridi kali.
kuhusu kupata joining instruction si huwa wanatuma kupitiia sanduku la barua? ama kama unaona kuchelewa nenda kaifwate ili uijue a mazingira yake

Shukrani mkuu muda wa kusubiri joining instructions upo limited sana na kuifuta sio vyema ilhari kuna teknolojia
 
Wadau,

Nna mdogo wangu kapangiwa form 5 hii shule (EGM) kwa anaejua status ya Taaluma ya shule hii anijuze.

Na pia kwa mtu mwenye contact ya Mwalimu/Walimu naomba anisaidie ile niwasiliane nao nipate kujua mahitaji yanayohitajika huko
ni shule nzuri sana..mazingira mazuri..yanahamasisha kuxoma..
 
yap nzuri ajilinde na wanaume ila ni ya zaman sna ina vimbwanga kibao vya giza. mama yangu mkubwa alisoma huko miaka ya 70
 
mazingira mazuri asisahau blanketi zito. hakuna haja ya neti kwani hataitumia.
 
Haina vibwanga mkuu..nimemaliza juzi kati tuu..wanafunzi wanakuwa kidini..thn mara nyingi neti wanapewa xul
 
Beauty brain with no brain yaani akufuate dume zima kuja kuchukua no ya academic teacher kwa kumwonaje? Angekuwa bongo lala angefaulu? Hakika hiyo no hunayo na wala hujui Ashira girls ipo mkoa na wilaya gani?Wewe ni laghai tu na unatafuta kifungo cha maisha kwa nguvu.
 
Geraldkowero1..sipo kama unavyofikiria..siwezi kutoa no ya mwl hapa....aim ni kumsaidia huyo sivyo kama unavyowaza..nimexoma ashira class of 2011-2013..A.level..ashira iko kilimanjaro moshi marangu mtoni..usinifikirie vibaya
 
mazingira mazuri asisahau blanketi zito. hakuna haja ya neti kwani hataitumia.
Ww nawe ni jipu post tangu 2013 unajibu leo huyo kashamaliza six yupo mwaka wa kwanza sasa hivi
 
Ww nawe ni jipu post tangu 2013 unajibu leo huyo kashamaliza six yupo mwaka wa kwanza sasa hivi
Humu wanapita wengi kama uliyopita wewe na mimi, hivyo taarifa inasambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…