Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Hivi saivi haziji tena masijala?Yeah mamtu ya masjala yalikuwa yanacheka sana pumbafu zao
Wale watu wa masijala wana siri zetu nyingi sana mi uwa nawaheshimu sana. Maana barua zote kwenye faili langu wanazisoma. Zingine najitetea makosa mbalimbali nyingine naomba hela na izo salary slips ndio dah.
Ambao hatujaambulia kitu kwenye hii mada tujuane
π π π πVipi za mwezi huu zimetoka?
Hivi saivi haziji tena masijala?
Muulize Kididimoπ π π π