Hawezi Bashungwa..kwa face value judgement hana uwezo kabisa kushikilia hiyo nafasi..waliomuweka ndio wanaofanya maamuzi na ni kwa makusudi waliweka mtu wa aina hiyo kwa faida yao..
Wassira ndie back supporter wa uhuni huu wote..na hao wamemleta hapo ili kauli zake ziwe kinga au ngao kwa uhuni unaofanyika..panapomstahili Wassira ni kumalizia uzee wake ICJ/ICC Kauli zake ni za kuhamasisha uovu, ukandamizaji wa haki na demokrasia na kuumiza wengine.