Bahati nzuri wengine tuko online na ardhini (field) pia hivyo tuna picha nzuri zaidi kuliko wanaongalia kwenye media tu- Hali ni mbaya sana. Jana nilikuwa kwenye mkutano wa CCM Manzese yaani kijani wenyewe wanaongea kuwa mwaka huu mambo ni magumu sana. Yaaani JK anahutubia kijani wenyewe wanasema duu...hapo kachapia, Slaa noma, sijui itakuwaje.....nk