Asikudanganye mtu mabinti ni wasumbufu sana kulipa madeni

Ukijichekesha chekesha hautalipwa kamwe.
Kaza sura mtoto wa kiume.
 
Mimi huwa na sheria moja lazima niwe nime kukula au uje ni kukule ndo niku pesa maana hapo najua kabisaa hamna kurudishiana,

Na sikupi yote ila,nakupa,nusu yake kama ni laki basi jua,na kupa 50
 
Asikudanganye mtu mabinti ni wasumbufu sana kulipa madeni na ukianza kuleta mapenzi unaweza usipate vyote.
Ni walipaji wazuri sana. Tatizo liko kwako unapojichanganya kimapenzi kwa urembo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…