Asikwambie mtu bwana raha ya ndoa muishi uswahilin

Hahaaaa. Ila kweli swahiba.
Swahiba naona umecheeka

Haiwezekani mkeo anakupa umbea usiku tena kitandani inamana mwanaume kazi umeishindwa na usubiri tu siku mkeo akupe story za mume mwenzio anaekusaidia kazi
 
Swahiba naona umecheeka

Haiwekani mkeo anakupa umbea usiku tena kitandani inamana mwanaume kazi umeishindwa na usubiri tu siku mkeo akupe story za mume mwenzio anaekusaidia kazi
Swahiba sio kwa kutaka kuvunja mbavu zangu asubuhi hii. Duuh.

Ila kweli swahiba mke na mume wakishapanda kitandani sio sehemu ya maongezi ya kuwazungumzia watu muda ule ni maalum kwa kuliwazana na kutoana uchovu wa kutwa nzima. Hahahaaa.
 
Swahiba sio kwa kutakuvunja mbavu zangu asubuhi hii. Duuh.

Ila kweli swahiba mke na mume wakishapanda kitandani sio sehemu ya maongezi ya kuwazungumzia watu muda ule ni maalum kwa kuliwazana na kutoana uchovu wa kutwa nzima. Hahahaaa.
Wavulana hao watajulia wapi hayo mambo wakati siku hizi hawaendi jando
 
Huu uz naona umenuka ngoja niwaachie nisepe zangu
 
Tukisema wanaume wa Dar mapovu yanawatoka.
 
Mawazo ya zamani hayo
Sion sababu ya mke kujishughulisha kwanza sijakwama kwa kipato haraf ikitikea nimepumzika kwa aman anaweza kusimamia mirad yote kama msimamiz, pili me nikiwa kazin na yeye yupo kazin nani atakaa na watoto kuwapa malezi, kuwasimamia eeeh! Au ndo beki tatu tena katoka kwao na tabia zake awaambukize wanangu, me naamin mama ndo mlezi!
 
Poapoa mkuu hamna shida
 
Hapo ukute mama mwenye nyumba nae anamsimlia mumewe vile mke wako anavotangazaga kibamia chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…