Asili inapochoka kuchokozwa

Huu uzi ungeutafutia kichwa cha habari kizuri zaidi, kuliko hiki cha asili inapochoka kuchokozwa, maana naona vitu vingi vimetelekezwa tu
 
Hii ndo ubaya ubwela sasa. Mbwembwe zooote za binadamu ila asili ikiamua tunafutika kama mbung'o tu.
 
Bahari haihifadhi uchafu huutapika kwakuwa maji yana uwezo wa kutembea.. Mimi haina uwezo wa kutembea hivyo badala ya kuutema uchafu huuweka kifungoni usiende kuchafua kwingine..
 
Siku hizi usipokuwa makini utajikuta unaamini AI
Hujui lipi ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…