Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
wasalaam ndugu zangu
Niende moja kwa moja kwenye mada :Je, ni ipi asili au mila za mwafrika ? Kumekuwa na maneno utasikia ''sisi tuna mila zetu '' ''Tuna tamaduni zetu kabla ya kuja wakoloni "
Hayo maneno hapo ni ya kinafiki na kipumbavu kabisa ,hakuna mila wala tamaduni za mwafrika kwa sababu mfumo wa maisha ya mwafrika uligubikwa na mabadiliko mbalimbali kadri siku zinevyoenda . Kwa mantiki hiyo, kila mtu atafuata mila na asili kutokana na sehemu ambayo alizaliwa na kukulia , ndio maana hata lugha na tabia anarithi kutokana na eneo husika. Hata hao wazungu hawakuzuka tu na kuwa pale , walipitia stage nyingi sana mpaka kufikia pale.
Kihistoria , mwafrika alipitia maendeleo tofauti wala hakuwahi kubaki sehemu moja milele, alianza kula nyama mbichi mpaka akagundua moto..Mila za muafrika zinategemea amezaliwa katika zama zipi na sio babu zako walikuwaje huko nyuma ...Maendeleo yote duniani hata Afrika kulikuwa n maendeleo ya zana na ujenzi wa vitu mbalimbali .
Huwezi kuongelea eti waafrika tulikuwa na dini au mila zetu ni uongo sio kweli kwa mtu aliyezazaliwa miaka 1900 nina uhakika hajazikuta hizo dini ni uongo , mambo mengi ni nadharia mwafrika aliziacha kwa hiyo usiulize babu zako kwa nn waliziacha ?..Kama ingekuwa ni mila zako wewe ungezikuta tu.
Kijana una miaka 30 unasema sisi Africa tuna mila zetu wakati hata hujui kitu kuhusu hizo mila . je, mila za muafrika ni kula nyama mbichi na kukaa mapangoni ndio umezikuta ? tupunguze unafiki kwamba hatutaki kubadili ni hoja za uongo .
Leo unakuta mtu kavaa suti au shati na suruali anakuambia tulikuwa na mila zetu 😀 😀 si urudi kuvaa nyasi ndio mila zenu ,.
Kama kweli umekuta kwenu wanaabudu mizimu , dawa za mitishamba ni sawa unaweza kufuata ila ni wachache sana ...Wengi hata mila potofu walishazika miaka kibao huko kwa kugundua haifai . leo
Kwa mfano ;Wazazi wako ni wanyakyusa ila umezaliwa na kukulia Dar mpaka umekua mkubwa kabisa , cha kwanza wewe ni mtu wa Dar maana hata lafudhi yako na tabia zitaendana na watu wa Dar .Kule kwa wanyakyusa kunabaki kama asili ila hauna ile hulka ya moja kwa moja kama mnyakyusa , inawezekana hata kuongea kinyakyusa hujui . Inakuwaje unajisifia kuwa wewe asili yako ni fulani ?