LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.
Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.
Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake "Huyu ni Dada yangu" .
Madada walikuwa wengi sana kiasi wanajeshi wenzake na Amini wakampachika jina Dada .
So wakawa wanamuita Iddi Amini Dada