Tetesi: Asili ya jina Iddi Amini " Dada"

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.

Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.

Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake "Huyu ni Dada yangu" .
Madada walikuwa wengi sana kiasi wanajeshi wenzake na Amini wakampachika jina Dada .
So wakawa wanamuita Iddi Amini Dada
 
walikua wanamtembeleaje? fafanua basi
 
walikua wanamtembeleaje? fafanua basi
Walikuwa wanaenda kuchapwa nao..we hujawahi kukaa hostel mademu wanakuja kukutembelea unawapiga exile washkaji? That's what am talking about
 
Noma sana, ni kweli jamaa alikuwa anakula nyama za watu?
Ndio hasahasa nyama za wanaume na za mabinti bikira.. Wanaume alikuwa anachemsha ma.pumbu na mb.o anakula kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume na mabinti bikira alikuwa anakula nyama zao na kunywa damu zao kwa ajili ya kupandisha na kuimarisha nyota yake
 
Acha kubuni mambo unajua jeshi la wakoloni likua je, .....kwahiyo John pombe magufuri.......elikua je akaitwa hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKUD Kwanza huo ni uongo, uganda hata neno dada hawalijui, umeleta story uki assume ilikuwa kambi ya jeshi ya naliendele?? Au tabora?? Hapana ni uganda neno dada, ni BAABA, dada shakira wanasema BAABA SHAKIRA au sister, nimekaa sana Uganda Bweyogerere, Nansana, Nakasozi Buddo na Nabingo, kiswahili uganda hawajui

Jina lake ni Idd Amin Dadaa siyo Dada
 
Alidanganywa na mganga,ndo ujue mganga ana akili kuliko aliesoma phd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…