Asili ya kofia kitunga ni wapi?

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
995
Reaction score
1,067
Habari wakuu, napenda kujua historia na asili ya hii kofia, naona kama ni utamaduni ambao tumeurithi kutoka mataifa ya jirani, je asili yake ni wapi?
 
Ngoja wanaojua wakuje.
Lakini siku hizi hizo kofia zinapotea. Si nyingi kama siku zilizopita
 
Mshana jr uje huku maana nawe ni muhenga na mjuzi wa mambo utujuze
 
Ina maana wahenga wote waliomo humu jamvini hakuna wajuzi wa historia hii?
 
Nakumbuka utotoni tulikuwa tunaita hii kofia kwa jina la chupi ya jirani.....(hiko kitambaa chake ni cha chupi).
 
Hiz kofia zina historia mbaya sana ambayo haiwezi kumvutia mtu. Hasa zikihusishwa na mauaji. Anyways wanajua vizur watatoa taarifa. I miss some concepts so nashindwa kueleza hapa. Ila on brief is that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…