Aahahahahhaaaa niliwaza hivyo sema playlist kichwani ikagoma kabisa kuachia ngoma.
Wacha nione kama ntapatamo mojawapo ya Makwiz Jazz Band...π
πππππItakiwa safari moja bomba sana ya kukumbukwa. Tunaenda kuteremkia Tabora kisha tunatereza kwa lami hadi Sikonge, wakati huo tutakuwa tunalamba "upula" toka Tura station kabla hatuenda kuilamba asali mbichi ya kule Sikonge kwa bibi ......patamu hapo!!Aabeeehh.... Kiasali....
Tufanye basi ile ruti yetu ya treni kabla mwaka haujaisha.
Ila sio kwa SGR, tutumie TRL ya zamani ili safari ichukue muda mrefu njiani hadi Sikonge kwa bibi...π π π.
πππππItakiwa safari moja bomba sana ya kukumbukwa. Tunaenda kuteremkia Tabora kisha tunatereza kwa lami hadi Sikonge, wakati huo tutakuwa tunalamba "upula" toka Tura station kabla hatuenda kuilamba asali mbichi ya kula Sikonge kwa bibi ......patamu hapo!!
Aaaah ni vyema ukafanya kutulia na mamsapuKwa kua huyu ananitii na hasumbui chochote ngoja nitulie nae mpaka uzeenii
Kudadeq πΉπΉπΉBibi Kasie,kwanza niseme mie nakuhusudu sana,lkn pia ulichokiandika hapa kwa kweli kina akisi ukweli mtupu..
Niliwahi kujaribu mdada wa uko kwenu Kanda ya ziwa ,,hakika ni kama nilikuwa naingiza kwenye ziwa...ila nikigusa hizi Kanda za home ni poa tuu.
Ni kweli, mwanamke aliyetombeka sana kumalo inatepetetaKujitunza tu bibi, tatizo vibinti vya sasa vinagawa sana utamu....
Ladha yote inapotea...
πππAloooh, naona kama safari haifiki vilee...!!
Raha naona mie...πππ.
Na akina msigwa wenu walivyo wafupiKweli kabisa bibi wewe baki na babu Nyani Ngabu wa kanda ya ziwa mwenzio..!!
Wanaume wetu wa huku ukija utawaona vibamia..!! πΉπΉπΉ
Eti Ladha inapotea.Ladha yote inapotea...
Mbona vunjabei humsemi? Umemuona Msigwa tu πΉπΉNa akina msigwa wenu walivyo wafupi
Kweli kabisa bibi wewe baki na babu Nyani Ngabu wa kanda ya ziwa mwenzio..!!
Wanaume wetu wa huku ukija utawaona vibamia..!! πΉπΉπΉ
Vunjabei ni mzambia mamake anajuaMbona vunjabei humsemi? Umemuona Msigwa tu πΉπΉ
Sawa mkuu.Wenyewe wanakwambia umri ni namba tuu...
Afya ndo muhimu.
Ukijichanganya ,haitoshi tenaKudadeq πΉπΉπΉ
Na wanaume wa huko wasije huku pwani watatuachia mashimo..!! π€£