Asili ya Maumbile na Kuridhishana Kimahaba

Hii ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye mna ukaribu wa ukanda au Kabila ina make sense, mie shuhuda wa hili.

Japo sahivi......... Au bas. Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye mna ukaribu wa ukanda au Kabila ina make sense, mie shuhuda wa hili.

Japo sahivi......... Au bas. Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tupe ushuhuda mwijukulu wanne...!!

Fungukamo tuu usiogopee..😁😁
(In sukumaz voisi).
 
Tupe ushuhuda mwijukulu wanne...!!

Fungukamo tuu usiogopee..😁😁
(In sukumaz voisi).
Nakujaa kufunguka sasa hivi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo chungu kikubwa na mwiko uwe mkubwa?? 😹😹

Ila bibi unayaweza itabidi nikutafute unifunde..!!
Sema libabu nyani linafaidi mautundu yako..🀣
 
Hii ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye mna ukaribu wa ukanda au Kabila ina make sense, mie shuhuda wa hili.

Japo sahivi......... Au bas. Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba dadako niendelee kutulia Unyakyusani Mlongo?
 
Tamu za Kasie
 
Kwahiyo chungu kikubwa na mwiko uwe mkubwa?? 😹😹

Ila bibi unayaweza itabidi nikutafute unifunde..!!
Sema libabu nyani linafaidi mautundu yako..🀣

Eewaaahh, hapo umefuzu kidatooo somo.
Karibu darasani kwa masomo zaidi maana hayaishi.

Mautundu hapa kama chemchem kila siku yanabubujika mapya, saa ingine hata mimi mwenyewe najishangaa.... babu yenu ndo kabisaaa yeye kila siku kwake ananiona mpya eehehehehehe 😁😁.
 
Sipatii picha ujana wako ilikuaje, ungezaliwa afu mbili tungekoma

Ahahahahaa hukohuko miaka ya alfmiatisa ndo kumenifaa, sitaki hata kuwaza ningekuwa tusausandi sijui ningekuweje....😜.

Ujana sikuutumia vibaya, elimu ya mkoleni ilinikaa, heshima kwa adabu, khanga kiunoni muda wote, kujishughulisha shughuli za nyumba hadi za kitandani.... ehehehehee huwa siwezi kutulia yaani vurugu vurugu tuu πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ.
Halafu mpoleee, aibu za kike kama zote 🀩.

Hii versheni ya ukubwani bin uzeeni balaa maana imemiksi shisha bange na kilakitu.....πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ.
 
Awww 😍😍
Lazima babu apagawe kwa maufundi hayo..!!
Mi nakaribia class unipike nipikike nikamnyooshe mjukuu wako..!!
 

Umeona sasa, hapo imeleta majibu sawia kutokana na asili.
Kama wewe si mzaliwa wa kanda za bara au kanda ya ziwa, tuchukulie mfano asili yako ni kanda ya mwambao aka pwani uje kumsmashi mdada wa kanda ya ziwa au bara..... wewe utamuona dada bwawa, utajiona unaogelea, na yeye atasema huyu kaka kibamia katokea wapii...!!!
Lakini ukirudi kwa wadada wa asili ya ulikotokea aaaahhhhh, mambo msuano, nati inakaza bila praizi nde mpaka mwisho na wote mnafurahia.

Kiufupi hakuna mwenye kibamia wala mwenye bwawa, ukikutana na hiyo hali ujue huyo sio saizi yako umevamia.

Kuna mwenye saizi yake wanafitiana hadi wanacheua.

Shida zetu tamaa kutaka kuangalia muonekano wa mtu halafu unaanza kumpigia mahesabu kitandani ntakuwaje nae matokeo yake disappointments.

Unakuta mdada ooh nataka mkaka mrefu, mwenye misuli halafu kiatu anavaa saizi 44 weeweeehh umejiangalia urefu wa chungu chako utahimili au unatafuta kuchanwa.... na hapo mkaka hatofurahia sana sababu haiingii yote.

Hawakukosea waliosema, kila mtu na mtu wake....

Maneno hayaniishi mimi najikuta natitririka tuu, wacha ninywe togwa kwanza 😜.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…