Asili ya Maumbile na Kuridhishana Kimahaba

Nadhani hujakutana na sisi wamakonde weye😎


Aahahahahahaa kwani mmakonde chi ntu...!!!?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Nyie bana sijawahi kukutana na wa ukanda huo ila kwa sifa nnazozisikia namna mnateka mtu mazima, naogopa kabisa.

Pona yangu nshazeeka hovosina nafasi tena ya kukutana na wamakomde, kila la kheri kwa ambao bado wana nafasi ya kukutana na moto wenu...😜.

Nilipokuwa mdogo tulikuwa na wafanyakazi wa shamba wengi walikuwa kutoka Msumbiji na walijitambulisha kama wamakonde.
Sasa akija mgeni nikiulizwa wewe kabila gani, nasema mmakonde...!!😁.

Manangumene nkunyole...πŸ€ͺ.
 
Awww 😍😍
Lazima babu apagawe kwa maufundi hayo..!!
Mi nakaribia class unipike nipikike nikamnyooshe mjukuu wako..!!

Karibu sana somo, usiwe mvivu tuu hasa kwenye kujituma..😜.
 
Mie sirudii tena ,nimekoma kutaka kwingi.
Acha nibaki na wangu ninaemtosheaπŸ˜…
 
MAPENZI YAKIANZIA TEN kazi kubwa ni ku-maintain
Nishatoka na dem magomeni tukaja kumwagana mikocheni
Nikarepeat again and again and again and again and again
Hakuna nlichogain zaidi pain...
Bomboclaaaaaat.......


#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!
 
Kibuyu kimeangalia Chini lakini asali haimwagiki πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…