Asili ya neno MTEMI.

Asili ya neno MTEMI.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Neno mtemi asili yake ni kiongozi wa ufyekaji.
Zamani kwenye jamii ya Wasukuma na Wanyamwezi, vijana wakifika umri wa kujitegemea walikuwa wanachagua kiongozi na kwenda porini kufyeka eneo la kuanzisha makazi.

Kiongozi aliyekuwa anaratibu shughuli hiyo alikuwa anaitwa Mtemi.
 
Umejitahdi Kuelezea Ila naomba nikurekebishe kidogo..

Mtemi Imetokana na Neno NTEMI ambayo kwa Lugha ya Kinyamwezi na Kisukuma Maana yake ni Kiongozi au Mtawala..

Na sio Wasukuma Na wanyamwezi Peke yake hata Wagogo nao wanatumia Mtemi..

Na wabena na Wao hutumia Mtema wakiwa na maana hiyo hiyo ya Kiongozi..

Kwanza kabisa jamii ulizotaja wasukuma,Wanyamwezi na hata wabena na wagogo Walikuwa hawafukuzi wala hawaachi watoto kutoka nje ya Boma kwenda kutafuta Makazi mengine..

Mtoto akikua Alikuwa anajenga nyumba yake ndani ya Boma la wazazi..na ilikuwa ni vyepesi kukutana na kupeana hadithi za Mashujaa au wasukuma na wanyamwezi wanaita Shikome au Sikome..

Wanawasha moto Halafu wanasimuliwa kuhusu Ushujaa wa mababu zao na kuwajua mababu zao vizuri..

Kama unaswali kuhusu Historia ya Makabila unaweza kuuliza swali ni moja ya Vitu nilivyowahi kuzunguka Tanzania kujifunza Tamaduni zao zote
 
Back
Top Bottom