Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Inategemea na jamii husika .Akiwa wa kike anaitwaje? ..
MtemikeAkiwa wa kike anaitwaje? ..
Umejitahdi Kuelezea Ila naomba nikurekebishe kidogo..Neno mtemi asili yake ni kiongozi wa ufyekaji.
Zamani kwenye jamii ya Wasukuma na Wanyamwezi, vijana wakifika umri wa kujitegemea walikuwa wanachagua kiongozi na kwenda porini kufyeka eneo la kuanzisha makazi.
Kiongozi aliyekuwa anaratibu shughuli hiyo alikuwa anaitwa Mtemi.