Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Nini asili ya neno Soni au Chiba? kuna wakati mtu mlemavu wa mguu anaitwa majina hayo. Je ni kwa vile tulikuwa na waziri mzungu enzi za Nyerere aliyekuwa mlemavu wa miguu akiitwa Derek Bryson (soni) au ni yule mwigizaji wa kijapani Sonny Chiba.