Asili ya shanga, rozali na misaafu ni ipi Hasa?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Najaribu kuangalia tofauti kati ya shanga zinatumiiwa na Waganga, maasai, rozali na misaafu ,zinakuwa na mwonekano unaokaribiana Kwa karibu!!

Nini Hasa asili ya shanga, rozali na misaafu ?

Wenye majibu tafadhali πŸ™
 
Kuhussu rozari kasone MARIOLOGY
 
Kuzimu ndiyo asili ya mambo yote ambayo watu wanayapenda ikiwemo dini na ngono
Dini zote asili yake ni kule chini.

Imani asili yake ni juu.

Jikite kwenye mada usaidike tujue asili ya shanga, rozali na misaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…