Asili ya siku ya mashujaa ni ipi?

Asili ya siku ya mashujaa ni ipi?

Shekizongoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
388
Reaction score
153
Huwa kuna siku ya mashujaa kila tar 25/7. Chanzo chake ni nini? Kwanini ni tar 25/7?

Naomba msaada wenu
 
Hata sielewi hao mashujaa tunaowakumbuka ni wapi hasa,na kama wapo nadhani they fought for nothing maana kama kweli walitoa damu na uhai wao kupigania Nchi hii Tanzania/Tanganyika kweli ilikula kwao,maana kwa hali hii ilivyo bora Mzungu angeendelea kututawala tuu.
 
Back
Top Bottom