Hata sielewi hao mashujaa tunaowakumbuka ni wapi hasa,na kama wapo nadhani they fought for nothing maana kama kweli walitoa damu na uhai wao kupigania Nchi hii Tanzania/Tanganyika kweli ilikula kwao,maana kwa hali hii ilivyo bora Mzungu angeendelea kututawala tuu.